Tuesday, January 21, 2014

PREZZO ASHUSHIWA MATUSI NA 'DEMU' WAKE, AITWA SERENGETI BOY


MSANII wa Hip Hop nchini Kenya anayejulikana kwa jina la Prezzo amejikuta akizalirishwa kwa kupewa maneno makali ya kumchafua ikiwemo kuitwa 'serengeti boy' na

Wednesday, November 6, 2013

Taarifa kuhusu kifo cha Dj Rankeem Ramadhan

Kebby Omary ambae ni msemaji na ndugu wa Rankeem Ramadhani anasema ‘Jumapili saa tano nilipigiwa simu kwamba kadondoka  maeneo ya Meeda Sinza na akapelekwa hospitali ya Palestina Sinza na kuruhusiwa baada ya matibabu, alikua analalamika tumbo linamuuma lakini aliruhusiwa baada ya kupangiwa sindano za masaa, akawa anaomba maji ya kunywa na maziwa kwa sana na baadae akapendekeza achomwe sindano za maumivu lakini daktari hakuruhusu’
‘Jumatatu usiku mke wake alinipigia simu kwamba hali ya Rankeem inazidi kuwa mbaya na anabadilika, tulipomleta hospitalini Palestina wakaamua kumpeleka Mwananyamala hospitali ambako madatari waliamua kumpiga x-ray ambapo ilionekana utumbo wake umetoboka hivyo apelekwe kwenye ngazi inayofata haraka, asubuhi ya leo November 6 2013 akafanyiwa opareshen lakini baada ya dakika kama 120 Madatari wakasema sukari yake na presha vimeshuka inabidi awekewe oxygen, zoezi ambalo halikufanikiwa hivyo Rankeem akafariki dunia’ – Kebby
Bado haijajulikana Dj huyu maarufu kupitia Media mbalimbali Tanzania atazikwa wapi na saa ngapi, mipango bado inaendelea kufanyika.

JIFUNZE KUWEKEZA

Jifunze kuwekeza katika kila kidogo ulichonacho na unacho kipata ili mwisho wa siku uwe nimoja kati ya wanaosukuma gurudumu la maendeleo hapa nchini

Friday, September 13, 2013

HIVI NDIVYO MTAZAMO YA AFANDE SELE ILIVYOZALIWA

Msanii Mkali wa Hip Hop Tanzania Afande Selle ambae awalishirikiana na kutengeneza Wimbo wa Mtizamo ambao Ulitengenezwa na P Funk Majani wamefunguka na kusema kuwa Biti ya Mtazamo alitengenezewa Jafaray kwa lengo la kufanya Niko Busy.
Biti ya Mtazamo tuliikuta studio Bongo Records kwa kuwa Majani aliitengeneza kwa ajili ya Jafaray afanyie kazi yake ya Niko Bize.
Lakini baada ya mimi na Solo Thang kufika na kuisikiliza tukaanza kuchana mistari ya mtazamo wakati huo hata majani alikuwa hajawah kuisikia hivyo

Shirikisho la Muziki Tanzania, kumchukulia hatua ya kinidhamu, msanii wa muziki wa mduara Shilole

WENYEKITI wa Kamati ya Umoja wa Mashirikisho ya Sanaa Tanzania, Kimela Billa, ameutaka uongozi wa Shirikisho la Muziki Tanzania, kumchukulia hatua ya kinidhamu, msanii wa muziki wa mduara Shilole ambaye pia ni muigizaji wa filamu kwa kosa la kukiuka maadili ya Tanzania katika tamasha la Serengeti Fiesta, mkoani Iringa.

Shilole alipanda jukwaani akiwa anacheza wimbo wake wa ‘Nakomaa na jiji’ huku akiwa amevaa nguo ambazo zilionesha maumbile yake yote ya

Sunday, March 17, 2013

PESTO SAID:- AONDOKEWA NA MAMA YAKE KIPENZI

Phesto said ...

Nikiwa kama C.E.O the boss wa thebigdad na toa pole sana Bwana Phesto 
na familia yao kwa ujumla kwa kuondokewa na mama yake mpendwa siku ya tarehe 14 march 2013 huko Matamba. kwa hakika ni siku ambayo haitasahaulika ktk mioyo ya wengi kwa kuondokewa na Mama yetu mpendwa wote tulimpenda sana lakini Mungu kampenda zaidi. Mazishi ya Mama phesto yalifanyika Matamba siku ya tar15 saa 7 mchana na yalio hudhuriwa na mamia ya watu., pongezi sana kwa watu wa Matamba (uwanji) kwa ushirikiano wenu katika hili.... MUNGU AWABARIKI...bwana ametoa Bwana ametwaa jinalae lihimidiwe.....  raha ya milele umpe ee bwana.. na mwanga wa milele umwangazie astarehe kwa amani amina.


Phesto said ...
C.E.O wa The big dad
Bw. Cyprian Benedict Mwageni
AKA B56 Bplus The big dad
UNAZIFAHAMU NJIA ZA UWANJI KULE MATAMBA?Moto ukiwa umeandaliwa kwaajili ya mkesha Msibani


hahahah huyu ni mdogo wangu kipenzi Bruno Benedict Mwageni

The big bossss  B56 Bplus The big dad

The big bossss  B56 Bplus The big dad


Matamba

Matamba

Mdogo wangu wa NGUVU XANA ambaye pia ni Afisa Ugani (bwana mifugo) akiiwakilisha serikali ktk kijiji cha Mahanji Matamba Ngd. Deogratius Benedict Mwageni

Unamuona Bruno kulia, Adeodatha mwenye sweta, Mbalu mwenye rasta na rafiki yao
wadogo zangu hao

barabara ya Matamba 

barabara ya Matamba 

barabara ya Matamba 

 hahahaa na mimi Dereva wa tuktuk..... nikiwa na bw. Deo 

barabara ya Matamba 


 barabara ya Matamba kona hatai xana hizi mazeee lakini nimezinyonga barabara ya Matamba kona hatai xana hizi mazeee lakini nimezinyonga

 barabara ya Matamba kona hatai xana hizi mazeee lakini nimezinyonga


 barabara ya Matamba kona hatai xana hizi mazeee lakini nimezinyonga


jinsi Bonde la usangu linavyoonekana kwa mbali na kwa chini unapo teremka
Baba yangu Mzazi na kipenzi changu Mwaaaaaaaaa ambaye ni afisa Tarafa wa matamba 
Ndg. Benedict kilian Mwageni say Babaaaaaa

hahahah huyu ni mdogo wangu kipenzi Bruno Benedict Mwageni