Wednesday, December 5, 2012

video....DULLY FIT DIAMOND & DIMPOZUTAMU

DOGO JANJA APIGWA BITI NA DINGI YAKE ASIJEVUTA SIGARA


Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’ akiwa na baba yake mzazi, Abubakar Chende.
 Baba yake Dogo Janja ambaye alikuja kumtembelea mwanaye hivi karibuni jijini Dar akitokea mkoani Arusha, alisema licha ya kufurahishwa na maendeleo ya mwanaye chini ya uongozi wa Ostaz Jumanamusoma, kikubwa amemsihi asije akajaribu kuvuta sigara.

“Mimi navuta kwelikweli, lakini mwanangu sitaki kusikia hata siku moja unavuta sigara kwani si nzuri kabisa,” alisema baba Dogo Janja.

FACEBOOK KUWAFUNGIA RAIA WOTE WA UGANDA KAMA WATAPINGA USHOGA


After a lot of haggling and discussions as far as the ANTI-GAYS bill is concerned, word around USA is that Facebook might reach a decision that will see it scrapping Uganda off its list of countries.
Apparently the gay rights activists in USA have pleaded with Mark Zuckerberg to make sure Uganda conforms to the set patterns of Facebook as an upholder of human rights. To the activists, Uganda has violated many Facebook clauses and needs to be banned for some time.

This may be good news for some few who had lost a social life, who would rather send a Facebook inbox that pay friends a visit. Zuckerberg says Facebook will be releasing an official statement soon as far as Uganda is concerned.

If the move to ban Uganda is undertaken, there will be a set-back in many companies that had built a big social media brand. Other girls will go around shoving photos in people’s faces asking them to LIKE. Uganda is now on its tenterhooks and the repercussions of being banned from Facebook will linger on in everyone’s minds.

Facebook has also outlined a method it will use if it is to go ahead with banning all Ugandans. This means whatever account was opened up from Uganda won’t be accessible to its users. The other method will be the use of MAC addresses to make it impossible for computing devices with Ugandan MAC addresses to access the official Facebook site.

HII NDO AJALI MBAYA ILIYOTOKEA HUKO IRINGA LEO MCHANA


Ajali  mbaya  imetokea  mkoani Iringa mchana  wa  leo na kusababisha  vifo  vya  watu  wanne  wa familia  moja  pamoja na mfanyakazi  wa ndani mmoja.

Ajali  hiyo  imetokea katika  eneo la Tanangozi  wilaya ya  Iringa kwenye kizuizi cha barabara  cha mafundi wa kutengeneza barabara  kuu ya Iringa -Mafinga  mkoani Iringa mida ya saa nane mchana Kwa mujibu  wa mashuda  wa  tukio   hilo  wameueleza kuwa  chanzo  cha ajali  hiyo ni dereva wa gari dogo aina ya RAV 4 kulipalamia lori  lenye tela kwa nyuma.




Huku  chanzo kikitajwa  kuwa ni kuendesha  kwa mwendo kasi  wa  dereva  wa gari ndogo marehemu Ezekiel Mwaiteleke  na kushindwa  kulimudu na kulipalamia lori kwa nyuma.

Kwa mujibu  wa mashuda  wa  tukio   hilo  wamesem kuwa  chanzo  cha ajali  hiyo ni dereva wa gari dogo aina ya Rav 4 kuendesha  kwa mwendo kasi na kushindwa  kulimudu na kuliparamia lori kwa nyuma na kuwa  gari hiyo ilikuwa ikitokea  jijini Dar es Salaam kwenda Kyela mkoani Mbeya.

Hivyo katika ajali  hiyo  abiria  wote  wanne akiwemo baba na mama  wa  watoto  wawili  waliokuwemo katika gari  hiyo pamoja na  watoto hao  kufa papo hapo na maiti  zote  kupelekwa katika Hospitali ya mkoa wa Iringa.

 Majina ya  waliokufa  ni pamoja  na Ezekiel Mwaiteleke ambaye ni dereva  wa gari hilo na baba  wa familia  hiyo ,mkewe Grace Mwaiteleke ,mtoto Kelvin Mwaiteleke (2),Happy Mwandike na mfanyakazi  wao  wa ndani aliyefahamika kwa jina la Linda Ezekiel  huku majeruhi katika ajali  hiyo ni mmoja na amekimbizwa  Hospital ya mkoa  wa Iringa.



ASHTAKIWA KWA KUBAKA BATA


A man in Turkey is being accused by his in-laws of an ugly crime.

The Hurriyet Daily News reports that a man was arrested in Bursa, Turkey for allegedly raping a duck.

The unidentified man’s father-in-law said he found "feathers and blood" in a bed with the duck, which is unable to walk and now under the care of a veterinarian.

The man dismissed the allegations as "slander."

The Hurriyet Daily News story has more on the duck's condition.

The story set off a few notable Twitter reactions, including, "Turkish man takes 'F--k a Duck' expression waaaay too literally" and "The dangers of giving relatives a bed for the night."

It's least the second story of gruesome bestiality in as many months to draw social media's attention. In August, Jeremy Johnson was found guilty of performing oral sex on a female horse in Perry County, Pa.

"WASANII WA BONGO WANAISHI MAISHA YA STAREHE SANA" BELL 9

IDADI kubwa ya wasanii wa muziki na filamu nchini Tanzania, wamekuwa na tabia ya kutangaza kumiliki mali na kuishi maisha ya kifahari wakati ukweli wa maisha yao si huo. 

Staa wa muziki, Belle 9, anasema kuwa tatizo la wasanii wengi kufilisika kisanaa limetokana na kuishi maisha ya kufikirika huku wakiwa na mitazamo hasi kuwa msanii anapaswa kuishi maisha ya kifahari. 

"Wamejikuta wakiishi maisha yasiyo yao na hata kutangaza mali ambazo si rahisi kuzimiliki. Hii yote imetokana na wasanii kuishia kufanya kazi moja na kusahau uwekezaji," anasema. 

"Msanii anavyopata fedha nyingi hatua ya kwanza huwa ni kununua gari na kuishi maisha ya kifahari na wengi wetu tunajisahau kuwekeza katika biashara na mambo mengine yaliyo na maana. 

"Kimsingi msanii anapaswa kuwa na jambo jingine analolifanya zaidi na sanaa. Kama hauko hivyo hakika mwisho wa siku tegemea kufulia (kufilisika)." 

Belle 9 ambaye ni mfanyabishara mjini Morogoro anasema kukaa kwake kimya katika tasnia ya muziki kwa kipindi kifupi sasa, kumetokana na kujipanga kikamilifu ili kuhakikisha anafanya kazi zinazokubalika na wengi. 

"'Anaishi Naye' ndio wimbo wangu wa mwisho kuutoa nikiwa na Ben Pol, lakini hivi sasa nipo chimbo nikiandaa kazi mpya ambayo nitaiachia kabla ya Krismasi, licha ya hilo pia biashara kidogo ilinifanya niwe bize," alisema. 

Msanii huyo alitamba na wimbo wa 'Sumu ya Penzi' mwaka 2009, ameendelea kubaki kwenye chati mpaka sasa na anavuma na video yake ya "Anaishi Naye". 

Sumu ya Penzi ulitoka kabla ya Masogange, Wewe ni Wangu, Ananifaa, Nilipe Nisepe na Anaishi Naye ambazo ameziimba kwa umahiri wa hali ya juu.