Friday, October 12, 2012

HAPPY BIRTHDAY HUGH JACKMAN

Kama wewe ni mpenzi wa movie za kutoka Hollywood pande za state basi actor huyu utakuwa unafahamu katika movie kibao jinsi anavyokuwa na ujasiri kwa mfano ile movie ya X men ilimfanya mpaka akaweza kupewa tuzo ya Best Actor mwaka 2000 katika Saturn awards.Habari ambayo tumeipata kuhusu actor huyu ni kwamba kwa siku ya leo anatimiza miaka 44 toka azaliwe 12 October 1968 tunamtakia maisha mema pamoja na kazi nzuri.

No comments:

Post a Comment