Monday, October 15, 2012

STAMINA KUJA NA ALBAM YENYE NYIMBO 20


Amesema nyimbo nyingi katika albam hiyo zitakuwa na ujumbe wa kijamii yaani conscious zaidi.

Aliongeza kuwa pamoja na kuwepo kwa nyimbo zake zilizotoka kama Kabwela, Alisema na Najuta Kubalehe, katika albam hiyo kuna wimbo aliomshirikisha Fid Q ambaye anamchukulia kama baba yake kisanaa katika wimbo uitwao Like Father Like Son.

Fid pia atalipia gharama zote za kufanyika kwa video mpya ya Stamina ambayo hakutaja ni ya wimbo gani.

No comments:

Post a Comment