Friday, September 13, 2013

HIVI NDIVYO MTAZAMO YA AFANDE SELE ILIVYOZALIWA

Msanii Mkali wa Hip Hop Tanzania Afande Selle ambae awalishirikiana na kutengeneza Wimbo wa Mtizamo ambao Ulitengenezwa na P Funk Majani wamefunguka na kusema kuwa Biti ya Mtazamo alitengenezewa Jafaray kwa lengo la kufanya Niko Busy.
Biti ya Mtazamo tuliikuta studio Bongo Records kwa kuwa Majani aliitengeneza kwa ajili ya Jafaray afanyie kazi yake ya Niko Bize.
Lakini baada ya mimi na Solo Thang kufika na kuisikiliza tukaanza kuchana mistari ya mtazamo wakati huo hata majani alikuwa hajawah kuisikia hivyo
akapagawa akasema jafaray atamtengenezea biti mpya ile akatuambia tuitumie sisi na ndio tukarekod mtazamo.
Lakini cha ajabu Jafaray hakuchukia zaidi alifurahia kazi yetu na baadae yeye akapewa biti mpya ndio akasimamisha Niko Bize.

No comments:

Post a Comment