Friday, October 19, 2012

Song : Vumilia – Dushe Dushe





Hii ni kazi mpya kutoka kwa hit maker wa Utanikumbuka VUMILIA, ambae kwa sasa anafanya kazi zake chini ya THT.

Wimbo huu Vumy anasema umeandikwa na Ditto na umerekodiwa katika studio za THT.

No comments:

Post a Comment