Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kama Diamond Platinum,leo kupitia katika website yake aliweza kuandika ujumbe mfupi wa kumpongezi msanii Dully sykes kwa kutimiza miaka kadhaa kwa siku ya leo na ujumbe huo ni huu hapa"Kiukweli ni mtu ambae anamchango mkubwa sana katika Safari yangu ya kimuziki mpaka kufikia hapa...pengine pasingekuwa na uwepo wake huwenda nisingefika hapa nilipo ni mtu anae nisupport na kuwa nami Bega kwa Bega kwa kila hatua zangu za kimuziki,kunishauri na kuniongoza katika njia sahihi ya Tasnia hii ya Muziki wetu na Maisha kwa ujumla....Na kama ulikuwa haujui tarehe 1 ya mwezi huu wa 12 alipata mtoto mwingine wa kiume aliyezaliwa Greenwich Hospital Mjini London Uingereza na kumtunuku ama kumuita jina la Diamond yaani Diamond Sykes"Huo ndiyo ujumbe kutoka kwa Diamond baada ya Dully kufikisha miaka kadhaa leo.
SAA- TIME
GENERATION FM ONLINE
Tuesday, December 4, 2012
DIAMOND ATOA UJUMBE KWA DULLY BAADA YA KUTIMIZA MIAKA KADHAA
VIDEO:- DIAMOND PLATINUM"NATAKA KULEWA"
HII NDIYO VIDEO YA CHICOLO KUTOA KATIKA DARASA LA FID Q UJAMAA HIP HOP
KAMA WEWE NI SHABIKI WA DULLY SYKES INATUHUSU HII
Subscribe to:
Posts (Atom)