Friday, September 13, 2013

HIVI NDIVYO MTAZAMO YA AFANDE SELE ILIVYOZALIWA

Msanii Mkali wa Hip Hop Tanzania Afande Selle ambae awalishirikiana na kutengeneza Wimbo wa Mtizamo ambao Ulitengenezwa na P Funk Majani wamefunguka na kusema kuwa Biti ya Mtazamo alitengenezewa Jafaray kwa lengo la kufanya Niko Busy.
Biti ya Mtazamo tuliikuta studio Bongo Records kwa kuwa Majani aliitengeneza kwa ajili ya Jafaray afanyie kazi yake ya Niko Bize.
Lakini baada ya mimi na Solo Thang kufika na kuisikiliza tukaanza kuchana mistari ya mtazamo wakati huo hata majani alikuwa hajawah kuisikia hivyo

Shirikisho la Muziki Tanzania, kumchukulia hatua ya kinidhamu, msanii wa muziki wa mduara Shilole

WENYEKITI wa Kamati ya Umoja wa Mashirikisho ya Sanaa Tanzania, Kimela Billa, ameutaka uongozi wa Shirikisho la Muziki Tanzania, kumchukulia hatua ya kinidhamu, msanii wa muziki wa mduara Shilole ambaye pia ni muigizaji wa filamu kwa kosa la kukiuka maadili ya Tanzania katika tamasha la Serengeti Fiesta, mkoani Iringa.

Shilole alipanda jukwaani akiwa anacheza wimbo wake wa ‘Nakomaa na jiji’ huku akiwa amevaa nguo ambazo zilionesha maumbile yake yote ya