Saturday, February 16, 2013

Bab'z lounge Mbeya:- Yaliyojiri siku ya VALENTINES DAY

Selina kutoka Bab'z

Ama kwa hakika jiji la mbeya lili pendezeshwa na kiwanja mfuniko cha burudani green city (g.c) bab’z lounge the clubbing experience siku ya wapendanao ile valentines day ya mwaka huu 2013 kutokana na madhari ya club hiyo kupendeza kadri siku zinavyo kwenda, lakini pia watu 100 wa kwanza kuingia hapo walilipiwa kiingilio na kupewa redd’s moja bure mlangoni wakati ndani kulikuwa na show kali iliyo tolewa na miss redd’s walio pendeza pamoja na model wengine kibao pamoja na burudani usipime kutona kwa dancers wa kundi la ndagafijo kutoka gc mbeya na watoto warito wakumwaga na walio pendeza baraaaaaaaaaaa lakini mpango mzima wakazi wa mbeya na vitongoji, wolaya na kata zake waliburudika kwasababu mchongo mzima uliruka live kupitia 89.9 generation fm mbeya

Lakini pia ilitangazwa kwamba couple mija itakayo pendeza ita chagua sehemu yakwenda kupumzika kwa usiku mmoja na kulipiwa usafiri kutoka bab’z hadi hotel pamoja n chakula cha usiku, malazi pamoja na breakfast na usafiri wa kuwapeleka makwao toka hotel vigezo ni couple itakayo pendeza na badala yake zilipatikana couples tatu ambapo yalitolewa maswali ya papo kwa hapo na couple zote zilijitahidi kuya jibu ipasavyo na kisha uongozi wa tbl ukaamua kuwapeleka couples hao waliko chagua kwenda na kutoa zawadi nyingine kedekede.

 B56 Bplus Thebig dad na Roby G 

B56 Bplus Thebig dad

baunsa JOHN kutoka Bab'z lounge the clubbing Experience 

baunsa JOHN kutoka Bab'z lounge the clubbing Experience 
na warembo kutoka TBL 

baunsa JOHN kutoka Bab'z lounge the clubbing Experience 
na warembo kutoka TBL 

Raydo the boss

baunsa JOHN kutoka Bab'z lounge the clubbing Experience

 Raydo the boss na Twali B (watangazaji wa Generation Fm) 

Raydo the boss na B56 Bplus the big dad (watangazaji wa Generation Fm)

Raydo the boss na B56 Bplus the big dad (watangazaji wa Generation Fm)

 majembe kutoka models Twali B na Raydo. 

majembe B56, Twali B na Raydo.

majembe B56, Twali B na Raydo.

  moja kati yaCouple iliyojishindia kwenda (mbeya hotel) na Raydo the boss  

B56 BPLUS THE BIG DAD 
mwenye kofia watangazaji wa Generation Fm akiwa na kimwana moja kati ya mamiss

moja kati yaCouple iliyojishindia kwenda (Hotel Hill View) na Raydo the boss 

moja kati yaCouple iliyojishindia kwenda (Hotel Hill View) na Raydo the boss 

Couple zilizo jishindia kwenda Hotel pamoja na Raydo the boss  wakati
wa maswali ya chemsha bongo 

  Couple zilizo jishindia kwenda Hotel pamoja na Raydo the boss  wakati
wa maswali ya chemsha bongo 

 Couple zilizo jishindia kwenda Hotel pamoja na Raydo the boss  

moja kati yaCouple iliyojishindia kwenda (Hotel Hill View) na Raydo the boss 

 moja kati ya Couple iliyojishindia kwenda (Hotel Hill View) na Raydo the boss  

 moja kati yaCouple iliyojishindia kwenda (Hotel Hill View) na Raydo the boss 

 moja kati yaCouple iliyojishindia kwenda (Mbeya Hotel) 

moja kati yaCouple iliyojishindia kwenda (Hotel Hill View)

moja kati yaCouple iliyojishindia kwenda (Hotel Hill View)

TWALI B na B56 BPLUS THE BIG DAD 
mwenye kofia watangazaji wa Generation Fm

TWALI B na B56 BPLUS THE BIG DAD 
mwenye kofia watangazaji wa Generation Fm

moja kati yaCouple iliyojishindia kwenda (Hotel Hill View)

RAYDO THE BOSS

B56 BPLUS THE BIG DAD 
mwenye kofia mtangazaji wa Generation Fm AKIWA NA KIMWANA na alie fumba macho ni 
Jose a.ka Rubanu wa mbunge

B56 BPLUS THE BIG DAD 
mwenye kofia mtangazaji wa Generation Fm AKIWA NA KIMWANA 
na mwenye macho ya kurembua ni 
Jose a.ka Rubanu wa mbunge

RAYDO THE BOSS

RAYDO THE BOSS
mwenye sweta jeupe mtangazaji wa Generation Fm AKIWA NA RAFIKI

RAYDO THE BOSS
mwenye sweta jeupe mtangazaji wa Generation Fm AKIWA NA RAFIKI

No comments:

Post a Comment