SAA- TIME
GENERATION FM ONLINE
Wednesday, December 5, 2012
video....DULLY FIT DIAMOND & DIMPOZUTAMU
DOGO JANJA APIGWA BITI NA DINGI YAKE ASIJEVUTA SIGARA
Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’ akiwa na baba yake mzazi, Abubakar Chende.
Baba yake Dogo Janja ambaye alikuja kumtembelea mwanaye hivi karibuni jijini Dar akitokea mkoani Arusha, alisema licha ya kufurahishwa na maendeleo ya mwanaye chini ya uongozi wa Ostaz Jumanamusoma, kikubwa amemsihi asije akajaribu kuvuta sigara.“Mimi navuta kwelikweli, lakini mwanangu sitaki kusikia hata siku moja unavuta sigara kwani si nzuri kabisa,” alisema baba Dogo Janja.
FACEBOOK KUWAFUNGIA RAIA WOTE WA UGANDA KAMA WATAPINGA USHOGA
After a lot of haggling and discussions as far as the ANTI-GAYS bill is concerned, word around USA is that Facebook might reach a decision that will see it scrapping Uganda off its list of countries.
Apparently the gay rights activists in USA have pleaded with Mark Zuckerberg to make sure Uganda conforms to the set patterns of Facebook as an upholder of human rights. To the activists, Uganda has violated many Facebook clauses and needs to be banned for some time.
This may be good news for some few who had lost a social life, who would rather send a Facebook inbox that pay friends a visit. Zuckerberg says Facebook will be releasing an official statement soon as far as Uganda is concerned.
If the move to ban Uganda is undertaken, there will be a set-back in many companies that had built a big social media brand. Other girls will go around shoving photos in people’s faces asking them to LIKE. Uganda is now on its tenterhooks and the repercussions of being banned from Facebook will linger on in everyone’s minds.
Facebook has also outlined a method it will use if it is to go ahead with banning all Ugandans. This means whatever account was opened up from Uganda won’t be accessible to its users. The other method will be the use of MAC addresses to make it impossible for computing devices with Ugandan MAC addresses to access the official Facebook site.
HII NDO AJALI MBAYA ILIYOTOKEA HUKO IRINGA LEO MCHANA
Ajali mbaya imetokea mkoani Iringa mchana wa leo na kusababisha vifo vya watu wanne wa familia moja pamoja na mfanyakazi wa ndani mmoja.
Ajali hiyo imetokea katika eneo la Tanangozi wilaya ya Iringa kwenye kizuizi cha barabara cha mafundi wa kutengeneza barabara kuu ya Iringa -Mafinga mkoani Iringa mida ya saa nane mchana Kwa mujibu wa mashuda wa tukio hilo wameueleza kuwa chanzo cha ajali hiyo ni dereva wa gari dogo aina ya RAV 4 kulipalamia lori lenye tela kwa nyuma.

Huku chanzo kikitajwa kuwa ni kuendesha kwa mwendo kasi wa dereva wa gari ndogo marehemu Ezekiel Mwaiteleke na kushindwa kulimudu na kulipalamia lori kwa nyuma.
Kwa mujibu wa mashuda wa tukio hilo wamesem kuwa chanzo cha ajali hiyo ni dereva wa gari dogo aina ya Rav 4 kuendesha kwa mwendo kasi na kushindwa kulimudu na kuliparamia lori kwa nyuma na kuwa gari hiyo ilikuwa ikitokea jijini Dar es Salaam kwenda Kyela mkoani Mbeya.
Hivyo katika ajali hiyo abiria wote wanne akiwemo baba na mama wa watoto wawili waliokuwemo katika gari hiyo pamoja na watoto hao kufa papo hapo na maiti zote kupelekwa katika Hospitali ya mkoa wa Iringa.
Majina ya waliokufa ni pamoja na Ezekiel Mwaiteleke ambaye ni dereva wa gari hilo na baba wa familia hiyo ,mkewe Grace Mwaiteleke ,mtoto Kelvin Mwaiteleke (2),Happy Mwandike na mfanyakazi wao wa ndani aliyefahamika kwa jina la Linda Ezekiel huku majeruhi katika ajali hiyo ni mmoja na amekimbizwa Hospital ya mkoa wa Iringa.
ASHTAKIWA KWA KUBAKA BATA
A man in Turkey is being accused by his in-laws of an ugly crime.
The Hurriyet Daily News reports that a man was arrested in Bursa, Turkey for allegedly raping a duck.
The unidentified man’s father-in-law said he found "feathers and blood" in a bed with the duck, which is unable to walk and now under the care of a veterinarian.
The man dismissed the allegations as "slander."
The Hurriyet Daily News story has more on the duck's condition.
The story set off a few notable Twitter reactions, including, "Turkish man takes 'F--k a Duck' expression waaaay too literally" and "The dangers of giving relatives a bed for the night."
It's least the second story of gruesome bestiality in as many months to draw social media's attention. In August, Jeremy Johnson was found guilty of performing oral sex on a female horse in Perry County, Pa.
"WASANII WA BONGO WANAISHI MAISHA YA STAREHE SANA" BELL 9
IDADI kubwa ya wasanii wa muziki na filamu nchini Tanzania, wamekuwa na tabia ya kutangaza kumiliki mali na kuishi maisha ya kifahari wakati ukweli wa maisha yao si huo.
Staa wa muziki, Belle 9, anasema kuwa tatizo la wasanii wengi kufilisika kisanaa limetokana na kuishi maisha ya kufikirika huku wakiwa na mitazamo hasi kuwa msanii anapaswa kuishi maisha ya kifahari.
"Wamejikuta wakiishi maisha yasiyo yao na hata kutangaza mali ambazo si rahisi kuzimiliki. Hii yote imetokana na wasanii kuishia kufanya kazi moja na kusahau uwekezaji," anasema.
"Msanii anavyopata fedha nyingi hatua ya kwanza huwa ni kununua gari na kuishi maisha ya kifahari na wengi wetu tunajisahau kuwekeza katika biashara na mambo mengine yaliyo na maana.
"Kimsingi msanii anapaswa kuwa na jambo jingine analolifanya zaidi na sanaa. Kama hauko hivyo hakika mwisho wa siku tegemea kufulia (kufilisika)."
Belle 9 ambaye ni mfanyabishara mjini Morogoro anasema kukaa kwake kimya katika tasnia ya muziki kwa kipindi kifupi sasa, kumetokana na kujipanga kikamilifu ili kuhakikisha anafanya kazi zinazokubalika na wengi.
"'Anaishi Naye' ndio wimbo wangu wa mwisho kuutoa nikiwa na Ben Pol, lakini hivi sasa nipo chimbo nikiandaa kazi mpya ambayo nitaiachia kabla ya Krismasi, licha ya hilo pia biashara kidogo ilinifanya niwe bize," alisema.
Msanii huyo alitamba na wimbo wa 'Sumu ya Penzi' mwaka 2009, ameendelea kubaki kwenye chati mpaka sasa na anavuma na video yake ya "Anaishi Naye".
Sumu ya Penzi ulitoka kabla ya Masogange, Wewe ni Wangu, Ananifaa, Nilipe Nisepe na Anaishi Naye ambazo ameziimba kwa umahiri wa hali ya juu.

Subscribe to:
Posts (Atom)