Monday, December 3, 2012

KUWA WA KWANZA KUSIKILIZA NGOMA MPYA YA MABESTE"DOLE"


kamba mpya kutoka kwa Mabeste feat Deddy "dole" produser wakiwa ni Pancho latino na HermyB  ndani ya BHITS Records.

KUWA WA KWANZA KUSIKILIZA NGOMA YA DULLY HII HAPA "UTAMU"




2012 GENERATION FM TOP 100.......


KABLA YA KUUMALIZA MWAKA 2012, TUTAKUMBUKA KWAMBA ZILIKUWEPO AMA ZIPO NGOMA KADHAA KALI AMBAZO ZIME TISHA 2012 .... SINDIOOOO EEEH!!....KWAKULIFAHAMU HILO BASI NJOO NA LIKE HAPA THEN DONDOSHA UTAKAZO WEZA HATA ZIKIWA ZOTE MIA POA, SO NANCH
O KIHITAJI NIGEE TOP 100 ZA 2012 NA NITA SEMANAZO 100-1 KATIKA PROJECT MAALUM YA TOP 100 KUPITIA 89.9 GENERATION MBEYA NA ZITA TISHA NYANDA ZAJUU KUSINI YOTE LANIK PIA KATIKAwww.b56bplus.caster.fm kitu onlineeeeeeeee halaf mpango utasanuka kama kawizzzzzzzz lakin waweza pia dondosha yako katika www.thebigdad.blogspot.com halaf ukawa mkali na may be tukabeng wotekatika top 100 za 2012 halaaaaaaaaaaa....

                                    


Making the Video, P-Funk’s ‘No Name’ Group


Jana Jioni washikaji kibao showed up to feature in the No Name music video ambapo Producer wa long time in the game PFunk ametengeneza mega track akiwashirikisah masuperproducers in the game wakiwemo Dunga wa mandugu digital, Lamar kutoka Fishcrab, Akil the brain na John Mahundi
Baadhi ya wasanii pia walikuwepo kama AY, Mwana Fa, Jay Mo, Vanessa Mdee na wengineo katika kusanyiko hilo, ambalo lilikua viwanja vya mpira wa vikapu vya Tanesco, where kunakua na Bball Kitaa kila Jumapili na washikaji kama kina Rueben Ndege na Angela Damas pamoja na bball players and lovers were also in tow.
UKITAKA KUONA PICHA ZAID NINI CLICK HAPA.....http://www.bongo5.com/picha-making-the-video-p-funks-no-name-group-12-2012/

Photos: Red carpet Rundown- ‘Red Ribbon Fashion Gala 2012′

Usiku wa Jumamosi, World Aids Day iliwaona wadau mbalimbali wa mitindo wakikusanyika maalum kwa ajili ya fashion show ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kusupport kituo cha watoto yatima wanaoishi na virusi, centre ya mafunzo ya ushonaji pamoja na Fun centre kwa ajili ya watoto.

HAYAWI HAYAWI SASA YAMEKUA.........


Matu na mkewe Sarah Mande

Ile hamu ya kaka mkuu Matuwite a.k.a Super Boy a.k.a Dj One Baby na mkewe Sara Mande (Mtangazaji wa Generation Fm Mbeya) A.k.a Mama Masauti ya kutaka kuitwa Baba na mama fulani sasa imewadia baada ya wapendanao hao kujaaliwa na mola kujipatia Mtoto a.k.a Mtoto mriiiiiitoooooo.... yaani katoto ka Binti kaliko pewa jina zuri GLORIA na kujikuta ni wenye furaha isiokifani na kuipenda siku ya tarehe 28th November 2012 kwa sababu ndio siku yao walio kamilisha ndoto zao wawili hao...
Sarah Mande, Floria na Matuwille

HONGERA SANA KUWA WATATU MMEPENDEZA SANA.....!!!!

Mungu awajalie neema, nguvu na hekima tele katika malezi bora kwa Mwanenu mpendwa Gloria.