Baada ya skendo hiyo kuanza kutiririshwa jana, leo Mume halisi wa yule mwanamke alie daiwa kuzaa na Chege amedaiwa wamejadili na kuafikiana Chege amurudishia jamaa mahali. Baada ya hapo chege tayari ametoa shilingi laki 8 pamoja na kumrudishia pesa yake ya nauli shilingi laki 2 ambayo jamaa anadai aliitamka tu
SAA- TIME
GENERATION FM ONLINE
Friday, October 12, 2012
CHEGE ADAIWA KUZAA NA MKE WA MTU
NU ALBUM COVER: KEYSHIA COLE – ‘WOMAN TO WOMAN’
Baada ya Rihanna na Nick Minaj kusambaza cover mpya za Album zao sasa habari nyingine mpya ambayo tumeipata kutoka pande za state ni kwamba msanii anayejulikana kwa jina la Keyshia Cole kwa siku ya leo ametoa cover mpya ya album yake inayokwenda kwa jina la Woman To Woman.Baada ya kutoa cover hiyo mpya aliweza kufunguka na kuandika ujumbe huu kwa mashabiki wake"
“I was a lot more happy and content with my happiness through my music, so now I am channeling the pain, the frustration, being upset about being cheated on,” said Keyshia of the follow-up to 2010’s Calling All Hearts. “This album is not about me. The album is about the fans that really want to hear things that help them and give them inspiration to get over dudes that do them wrong.”
Check out the deluxe cover below.
“I was a lot more happy and content with my happiness through my music, so now I am channeling the pain, the frustration, being upset about being cheated on,” said Keyshia of the follow-up to 2010’s Calling All Hearts. “This album is not about me. The album is about the fans that really want to hear things that help them and give them inspiration to get over dudes that do them wrong.”
Check out the deluxe cover below.
PROFESSA JAY,LADY J DEE,DIAMOND KUWANIA TUZO ZA KISIMA MUSIC AWARDS 2012
Habari nzuri ambayo tumeipata ni kwamba siku ya jana mtu mzima Professa jay,Diamond,Lady J dee na wasanii wengine kutokea hapaa Tzee walitajwa katika kuwania tuzo za Kisima Awards mwaka huu.Baada ya kutolewa orodha hiyo ya wasanii wanaochuana katika vipengele mbalimbali vya kuwania tuzo hizo sasa bhana mtu mzima Nonini alionekana ameongoza kwa kuwa nominated mara 4 katika kuwania tuzo hizo.Na hizi ni categories ambazo Nonini mpaka sasa anaonekana kwa kuwa nominated mara 4 katika categories mbalimbali :Video of the Year (Colour Kwa Face), Hip Hop Artist of the Year (Colour Kwa Face), Urban Artist of the Year (Hahe RMX ft. Just A Band) and The Artist of the Year categories.
Hii ndio List nzima ya Nominations za Kisima Music Awards 2012:
Best Hip Hop Artist
1. Mafans – Cannibal
2. Prep – Xtatic
3. On Top – OCTOPIZZO
4. Swahili Shakespeare – Rabbit
5. Colour Kwa Face – Nonini
6. Exponential Potential – Juliani
Artist of the Year
1. CampMulla
2. Nameless
3. Daddy Owen
4. Nonini
5. Octopizzo
6. Emmy Kosgei
The winner in this category will walk away with Sh2 million (US$22K)!
Best Collabo of Year
1. Don’t Want To B Alone – Ay ft Sauti Sol
2. Make u Dance – Keko ft Madtraxx
3. Mpita Njia – Alicios ft Juliana
4. Mbona – Daddy Owen ft Denno
5. Gentleman – P Unit ft Sauti Sol
6. What You Like – Longombas ft Mr. Vegas
Best Urban Song
1. Hahe – Just a Band
2. Party Dont Stop – CampMulla
3. Welcome 2 the Disco – MuthoniDQ
4. Kusunga- Boneless
East African Recognition Award
1. TMK – Kichwa Kinauma (TZ)
2. Jackie Chandiru – Golddigger (UG)
3. Lady Jaydee ft. Mr Blue – Wangu (TZ)
4. Profesa_Jay – Kamiligado (TZ)
5. Chameleone – Valu Valu (UG)
6. Diamond – Mawazo (TZ)
7. Dynamq – Jere Jere (Southern Sudan)
Music Video of the Year
1. Nameless – Coming Home
2. Rabbit – Swahili Shakespeare
3. Juliani – Exponential Potential
4. Daddy Owen – Mbona
5. Nonini – Colour kwa face
Best Urban Song
1. Hahe – Just a Band
2. Party Dont Stop – CampMulla
3. Welcome 2 the Disco – MuthoniDQ
4. Kusunga- Boneless
Best Reggae
1. Mbona – Daddy Owen
2. Nairobi Rough – Fireson
3. Number One – Kevo Yout
4. Guarantee – Wyre
Best Benga Song
1. Sihai Malo – Judith Bwire
2. Kaana Funny – Kamande wa Kioi
3. Momo – Murimi wa Kahalf
4. Kanungo Eteko- Otieno Aloka
Best Fusion Artists
1. Chips Funga – Anto Neo-soul
2. Coming Home – Nameless
3. Saida – Dan Aceda
4. Mama Africa – Judith Bwire
5. Jahera Na – Juliet
6. Still a liar – Wahu
Best Boomba Artist
1. Shine – Amileena
2. My Reason – Habida
3. Vidonge – Size 8
4. Kitu Kimoja – Avril
5. Maswali Ya Polisi – DNA
Gospel Artist of the Year
1. Daddy Owen ft. Denno – Mbona
2. Eko Dydda – Psalms 23
3. Eunice Njeri – Natamani
4. Mastar Piece ft. DK – Kofii Yoo
5. Emmy Kosgei – Ololo
6. Willy Paul ft. Gloria Muliro – Sitolia
Best Upcoming Artiste
1. Alicios
2. Anto Neosoul
3. Camp Mulla
4. Nariki
5. Xtatic
6. Yvonne Darco
DIAMOND AWA NA FURAHA BAADA YA KUTAJWA KUWA KING OF BONGO FLAVA NA MTANDAO WA MSN
Siku ya jana mtandao mkubwa Duniani kwa jina la MSN uliweza kutangaza majina mawili ya wasanii wa Tanzania kama ndio bora zaidi kwa kuwapa vyeocha King na Queen of Bongo flava.Wasanii hao waliotajwa na kupewa vyeo ni mtu mzima Diamond Platinum wa wasafi na mwanadada Lady J Dee baada ya kupata taarifa hii kutoka katika mtandao mkubwa duniani unaojulikana kwa jina la MSN sasa bhana Diamond akaamua kuandika ujumbe katika site yake baada ya kutajwa katika mtandano huo
"Honestly nmejiskia furaha sana kuandikwa katika mtandao mkubwa kama huu,
juu ya kazi yangu ya muziki ninayoifanya na kupewa heshima ya kuwa King of Bongo Flava.
Hii inaonesha ni jinsi gani muziki wetu umepiga hatua na unazidi kuvuka boda" Huu ndiyo ujumbe uliyoandikwa na mtu mzima Platinum baada ya kutaja katika mtandano mkubwa Duniani unaojulikana kwa jina la MSN.
"Honestly nmejiskia furaha sana kuandikwa katika mtandao mkubwa kama huu,
juu ya kazi yangu ya muziki ninayoifanya na kupewa heshima ya kuwa King of Bongo Flava.
Hii inaonesha ni jinsi gani muziki wetu umepiga hatua na unazidi kuvuka boda" Huu ndiyo ujumbe uliyoandikwa na mtu mzima Platinum baada ya kutaja katika mtandano mkubwa Duniani unaojulikana kwa jina la MSN.
HAPPY BIRTHDAY HUGH JACKMAN
Kama wewe ni mpenzi wa movie za kutoka Hollywood pande za state basi actor huyu utakuwa unafahamu katika movie kibao jinsi anavyokuwa na ujasiri kwa mfano ile movie ya X men ilimfanya mpaka akaweza kupewa tuzo ya Best Actor mwaka 2000 katika Saturn awards.Habari ambayo tumeipata kuhusu actor huyu ni kwamba kwa siku ya leo anatimiza miaka 44 toka azaliwe 12 October 1968 tunamtakia maisha mema pamoja na kazi nzuri.
Subscribe to:
Posts (Atom)





