Thursday, January 10, 2013

MH TEMBA:WAMENILIZA TENA VIFAA VYA GARI YANGU



Baada ya kukemea uwizi wa vifaa vya magari na kufanikiwa kukamata baadhi ya wezi wanaohusika na matukio hayo ya uibaji wa vifaa vya magari,sasa leo Mh.Temba ameibiwa tena vifaa vya gari yake na vifaa hivyo ni Power Window,Dashbody,Side mirrow na vitu vingine vyenye gharama kubwa.

Baada ya kuibiwa vifaa hivyo aliweza kutangaza ila hakufanikiwa kupata hata kimoja ila amesharipoti katika kituo cha Polisi,sasa
Kupitia katika mtandao wa twitter wasanii wanafunguka juu ya uibaji wa vifaa hivyo vya magari wamechoshwa.

Monday, December 17, 2012

WEUSI KUPIGA SHOW YA KUFUNGA MWAKA TAREHE 23 MWEZI HUU


HILI TUNALIITA FUNGA ''MWAKA LA WEUSI''' KWA SABABU KUU KUBWA TATU YA KWANZA NI UZINDUZI WA NYIMBO MPYA YA LORD EYEZ INAYOSUBIRIWA KWA HAMU NA YA PILI NI UZINDUZI WA BUM KUBAM DVD KWA MARA YA KWANZA AINA MPYA YA USAMBAZAJI WA KAZI ZA WASANII UTAFANYIKA SIKU HYO NA SHOW YA MILELE KUTOKA KWA G NAKO' 'JOH MAKINI ''NIKKI WA PILI' 'BONTA ''LORD EYEZ NA SUPRIZE PIA HAZITAKOSEKANA TUKUTANE MAISHA CLUB TAREHE 23/12/012 KIINGILIO NI 10000/= TU

Sunday, December 9, 2012

BREAKING NEWS: UKWELI KUHUSU TETESI JUU YA KIFO CHA JUSTIN BIEBER HUU HAPA

2010_Death rumors: In what appears to be the first celebrity death hoax of 2010, rumors were flying out that teen sensation Justin Bieber was dead at only 15-years-old.
Rest assured however that Justin Bieber is not dead and he even confirmed it himself on his Twitter account:
"oh yeah...and it feels so good to be alive"

2012_Death rumors: Is Justin Bieber died in a car crash or not?
"Endelea" kufahamu ukweli wa tetesi za kifo cha J. Bieber...
Ukweli ni kwamba Justin Bieber amepata ajali ya gari ila hajafa, sio mara ya kwanza kwa J. Bieber kuzushiwa kifo kwani hata mwaka 2000 aliwahi zushiwa kifo katika ajali ya gari na ikasmekana Illuminati walikuwa wanataka kumuua baada ya kugundua ndiye atayekuwa mrithi wa Michael Jackson.

NI KUHUSU KIFO CHA JUSTIN BIEBER

  Wengi tulio wengi tutakua hatuna uhakika na stori zinazoendelea kusambaa kuhuiana na eti bierber kafariki dunia ila ..katika pita pita mitandaoni hatukuwezeza kuthibitisha habari hiyo japo kuna site moja ambayo iliandika yafuatayo .........

Japo taarifa hizi zilipatikana katika mitandao isiyo rasmi hivyo kutupa hofu ya uhakika kuwa ni kweli bierber kafariki kwa ajali

kiukweli hasa huu ni uvumi ambao wasaniiw engi huzushiwa kuwa wamekufa wakati sio

kweli.na hii ni mara ya pili bierber anazushiwa kufa mitandaoni

Friday, December 7, 2012

NGOMA MPYA YA RICH MAVOKO "ONE TIME"


HAPPY B.DAY-NAKUTAKIA MAISHA MAREFU NA YENYE BARAKA TELE JACQULINE WOLPER


Msanii wa Bongo Movie almaarufu kama Jacquline Wolper, siku ya leo anatimiza miaka kadhaa toka azaliwe.Kwa hiyo kama wewe pia unazaliwa siku kama ya leo, basi utakuwa unasherekea siku yako ya kuzaliwa na msanii huyo.Team nzima ya The big dad tunawatakiwa All the best