Monday, December 3, 2012

HAYAWI HAYAWI SASA YAMEKUA.........


Matu na mkewe Sarah Mande

Ile hamu ya kaka mkuu Matuwite a.k.a Super Boy a.k.a Dj One Baby na mkewe Sara Mande (Mtangazaji wa Generation Fm Mbeya) A.k.a Mama Masauti ya kutaka kuitwa Baba na mama fulani sasa imewadia baada ya wapendanao hao kujaaliwa na mola kujipatia Mtoto a.k.a Mtoto mriiiiiitoooooo.... yaani katoto ka Binti kaliko pewa jina zuri GLORIA na kujikuta ni wenye furaha isiokifani na kuipenda siku ya tarehe 28th November 2012 kwa sababu ndio siku yao walio kamilisha ndoto zao wawili hao...
Sarah Mande, Floria na Matuwille

HONGERA SANA KUWA WATATU MMEPENDEZA SANA.....!!!!

Mungu awajalie neema, nguvu na hekima tele katika malezi bora kwa Mwanenu mpendwa Gloria.  

No comments:

Post a Comment