KAMA WEWE NI SHABIKI WA DULLY SYKES INATUHUSU HII
Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kama Dully Sykes, siku ya leo anatimiza miaka kadhaa toka azaliwe kwa hiyo kama wewe pia unazaliwa siku kama ya leo, basi utakuwa unasherekea siku yako ya kuzaliwa na msanii huyo tunawatakiwa All the best
No comments:
Post a Comment