Kila siku mwanamitindo wa kimataifa Flaviana Matata amekuwa akiendelea kuipeperusha bendera ya Tanzania kwa kuhusika kwenye masuala makubwa kimataifa. Ni jana tu tuliandika habari ya Flavy kupata shavu la kushiriki kwenye matangazo ya Diesel + Edun.
Hivi karibuni mrembo huyo ataonekana pia kwenye jarida la Marie Claire la Marekani. Jarida hilo la wanawake huandika makala mbalimbali na picha kuhusu fashion, mitindo, urembo, mambo ya wanawake, kazi, afya na mambo mengine.
Kupitia Instagram, Flavy ameshare picha ya akiwa na warembo wengine wa kimataifa kwenye photoshoot ya magazine hiyo na kuandika: hooting for Marie Claire America with @kimiskoo1 (Kim Koo) and @snik1 (Kaya Wilkins).
Kila siku mwanamitindo wa kimataifa Flaviana Matata amekuwa akiendelea kuipeperusha bendera ya Tanzania kwa kuhusika kwenye masuala makubwa kimataifa. Ni jana tu tuliandika habari ya Flavy kupata shavu la kushiriki kwenye matangazo ya Diesel + Edun.
Hivi karibuni mrembo huyo ataonekana pia kwenye jarida la Marie Claire la Marekani. Jarida hilo la wanawake huandika makala mbalimbali na picha kuhusu fashion, mitindo, urembo, mambo ya wanawake, kazi, afya na mambo mengine.
Kupitia Instagram, Flavy ameshare picha ya akiwa na warembo wengine wa kimataifa kwenye photoshoot ya magazine hiyo na kuandika: hooting for Marie Claire America with @kimiskoo1 (Kim Koo) and @snik1 (Kaya Wilkins)
.
Kim Koo
Kaya Wilkins
Flaviana Matata
No comments:
Post a Comment