Thursday, September 20, 2012

NAS NA LAURYN HILL WATANGAZA TOUR YAO YA “LIFE IS GOOD/BLACK RAGE”

Nas & Lauryn Hill wakiwa kwa stage.


Hip-hop history is about to be made. Nas na Lauryn Hill wameamua kuungana na na kushirikiana kwenye ziara itayokwenda kwa jina la “Life Is Good/Black Rage”.

Tour hii imeunganisha majina ya album mpya ya Nas kwa jina la “Life Is Good” na “Black Rage,” ambayo ni single mpya ya mwanadada Lauryn Hill ambayo inaelezea maswala mazima ya unyanyasaji na ubaguzi wa rangi ambapo anaamini kupitia nyimbo hiyo mambo hayo yatashughulikiwa na kutatuliwa.
 Kuhususiana na tour hii Nas anafunguka kwa kusema:“This is history. Better late than never. Life is good!”.

Na kuhusu swala zima la Tickets zitaanza kuuzwa ijumaa ya kesho, ila kwa mauzo ya awali kwenye masoko tickets zimeanza kuuzwa alhamisi ya leo.

Hii ndio Ratiba nzima na tarehe za “Life Is Good/Black Rage” Tour:

Oct. 6 – Columbia, MD – Merriweather Post Pavilion (NAS ONLY)
 Oct. 20 – Phoenix, AZ – Arizona State Fairgrounds (NAS ONLY)
 Oct. 26 – Asheville, NC – MOOG Festival (NAS ONLY)
 Oct. 27 – Nashville, TN – Riverfront Park (NAS ONLY)
 Oct. 28 – New Orleans, LA – Voodoo Festival (NAS ONLY)
 Oct. 29 – Dallas, TX – Palladium Ballroom
 Oct. 31 – Houston, TX – Bayou Music Center
 Nov. 2 – Atlanta, GA – Tabernacle
 Nov. 3 – Norfolk, VA – NorVa Theatre (NAS ONLY)
 Nov. 4 – Washington, DC – DAR Constitution Hall
 Nov. 7 – Philadelphia, PA – Electric Factory
 Nov. 9 – Rochester, NY – Main Street Armory(NAS ONLY)
 Nov. 11 – Boston, MA – House of Blues
 Nov. 14 – Chicago, IL – Congress Theatre
 Nov. 16 – Denver, CO – Fillmore Auditorium
 Nov. 17 – Magna, UT – Salt Air
 Nov. 19 – Oakland, CA – Fox Oakland Theater
 Dec. 31 – New York, NY – Radio City Music Hall (NAS ONLY).

No comments:

Post a Comment