Thursday, September 20, 2012

EXCLUSIVE : SHAKIRA MJAMZITO

         Shakira.  


Shakira akiwa na Gerard Pique.

Mwimbaji kutoka Colombia kwa jina la Shakira ni mjamzito na anatarajia kupata mtoto wake huyo wa kwanza.

The Hips don’t Lie singer mwenye umri wa miaka 35 amethibitisha kuwa ana mimba na wanatarajia kupata mtoto wa pamoja na Spanish footballer Gerard Pique anayeichezea club ya Barcelona. Na zaidi Shakira ameamua kupunguza ratiba zake za kazi kuanzia week ijayo.

Shakira amethibitisha kuwa mjamzito baada ya kuandika kwenye tovuti yake kwa kuwaambia mashabiki zake kama hivi:”As some of you may know, Gerard and I are very happy awaiting the arrival of our first baby. ‘At this time we have decided to give priority to this unique moment in our lives and postpone all the promotional activities planned over the next few days.”

Mwimbaji huyu alikuwa anatarajiwa kuperform kwenye tamashsa la iHeartRadio Music Festival at the MGM Grand Hotel and Casino weekend hii huko Las Vegas, but had now cancelled her appearance.



No comments:

Post a Comment