Saturday, October 20, 2012

Breaking: Lord Eyez akamatwa kwa kuiba spea za gari la Ommy Dimpoz


Muda mfupi uliopita Ommy Dimpoz ametweet picha hiyo juu na kuandika maelezo haya:


Pia kupitia BBM Ommy ameongeza kwa kuandika:

“Kwenye dp yangu sio ajali ni wezi wa power windows wakiongozwa na msanii mwenzangu wa bongo flava Lord Eyez ndo wameiba mpaka plate number tumeshamkamta lakini.”


No comments:

Post a Comment