Ni moja kati ya wasanii wanaofanya vizuri katika game la hapa Tzee hata nje ya Tzee sasa basi habari ambayo tumeipata kuhusu msanii huyu ni kwamba leo anatimiza miaka 24 toka azaliwa tunamtakia maisha bora na kazi nzuri katika game la hapa bongo Land.
No comments:
Post a Comment