Wednesday, November 14, 2012

Jordin Sparks azindua perfume yake ya pili kwa picha za nguvu


Mrembo na mwanamuziki wa R&B wa nchini Marekani, Jordin Sparks anazindua perfume yake ya pili. Katika kuitaganza perfume hiyo iitwayo Ambition mrembo huyo ameambatanisha na picha za kuvutia zinazodhihirisha jinsi alivyo mrembo.


Manukato hayo yanatarajiwa kuzinduliwa katikati ya mwezi huu. Angalia picha hizi na jinsi alivyopendeza, tunaamini mpenzi wake Jason Derulo atakuwa shabiki namba moja wa perfume hii.






No comments:

Post a Comment