Thursday, January 24, 2013

Msaada tutani: C-Sir Madini yuko njia panda, hajui aupe jina gani wimbo wake huu!!


ya Avril kuwa kwenye njia panda ya jina gani auite wimbo wake, it seems like si msanii pekee aliyekuwa kwenye dilemma hiyo. Hitmaker wa Kifungo Huru, C-Sir Madini naye yupo kwenye the same boat na anahitaji msaada wako. Msaidie kupendekeza jina la wimbo huu anaotarajia kuuachia hivi karibuni na aliomshirikisha Josefly.

No comments:

Post a Comment