Thursday, January 24, 2013

Televisheni ya taifa ya Nigeria yazipiga marufuku ‘Alingo’ ya P-Square na Skibobo ya Goldie ft. AY



Shirika la utangazaji la Nigeria, NBC, limezipiga marufuku video nane za wasanii wa Nigeria kwa kile ilichokisema zinaonesha uchezaji wenye matusi (erotic dance).

Video zilizopigwa marufuku ni pamoja na Alingo ya P-Square, Skibobo wa Goldie aliomshirikisha AY na Shake wa Flavour.

List nzima a nyimbo zilizopigwa marufuku na NBC:

1. Tillaman ft Vector- Ma Roll (contains Intimate and suggestive dance steps)
2. Wande Coal – Go Low (scenes of nuditiy in the video)
3. D’Prince – Take Banana (contains Intimate, vulgar, words and suggestive dance steps)
4. Flavour – Shake (vulgar and suggestive dance steps)
5. Goldie – Ski bo bo (features minor with suggestive and immoral dance steps)



6. Chuddy K – Chop My Dollar (features ladies and children with suggestive and Intimate dance steps
7. Timaya – Shake Ur Bum Bum (Intimate, suggestive dance steps with vulgar lyrics
8. P Square – Alingo (Intimate dance scenes at the end of the musical video)

No comments:

Post a Comment