Baada ya baadhi watu nchini Marekani kumcheka na kumkejeli Beyonce kufuatia kutoimba live wimbo wa taifa wakati wa kuapishwa kwa rais Barack Obama mwezi uliopita, mrembo huyo jana amewaprove wrong kuwa kipaji anacho na habahatishi kwa kuimba live wimbo huo kwenye press conference ya Superbowl. Check video hiyo hapa chini:
No comments:
Post a Comment